Serikali inapaswa kuruhusu Nchi yetu kupaa pamoja na Dunia iliyo endelea kwa kutambua umuhimu wa Digital economy platforms kama

19 Jun 2020, 19:12
Serikali inapaswa kuruhusu Nchi yetu kupaa pamoja na Dunia iliyo endelea kwa kutambua umuhimu wa Digital economy platforms kama crypto,Forex,Indices.Billions of dollars zina zunguka katika mifumo hii,bahati mbaya watu wengi wana kwama kwa ukosefu wa sera wezeshi Nchini